Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe Gereza la Ukonga Dar es Salaam.
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
Mfungwa huyo alijijeruhi baada ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuondoka katika gereza hilo baada ya kushuhudia wafungwa 70 kati ya 259 wa gereza hilo wakikamilisha taratibu za kutoka.
Abraham alirejeshwa katika gereza hilo licha ya kujijeruhi na kusubiri utaratibu wa kutoka

from MPEKUZI https://ift.tt/2Pa2QTV
via IFTTT
No comments:
Post a Comment