Wednesday, February 17, 2021

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Afariki Dunia


 Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Serikali imetangaza siku 7 za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti


Taarifa za msiba na maziko zitaendea kutolewa na serikali kwa ushikiriano karibu na familia pamoja na Chama cha ACT Wazalendo.




from MPEKUZI https://ift.tt/3ptAZNB
via IFTTT

No comments:

Post a Comment