Monday, August 9, 2021

Watu 6 Mbaroni kwa Tuhutuma za Kuwashambulia na Kuwarekodi Video za Utupu Watu wawili Waliodaiwa Kufumaniwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.



from MPEKUZI https://ift.tt/3jAr2wK
via IFTTT

No comments:

Post a Comment