Tuesday, May 31, 2022

Tangazo la Ajira Mpya 1,241 Katika Jeshi La Magereza....Bofya Kutuma Maombi Kabla Hujachelewa!!


Serikali  imetoa Kibali cha Ajira za Jeshi la  Magereza. Hivyo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira mbadala 1,241 za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. 

Jeshi litaajiri kwa kuzingatia vigezo vinavyohitajika kulingana na maelekezo ya Serikali. Hivyo Waombaji wote wanaotaka kujiunga na Jeshi la magereza wanatakiwa  wawe na  sifa zilizoanishwa hapa chini.



from MPEKUZI https://ift.tt/yhLmujI
via IFTTT

No comments:

Post a Comment