Monday, October 7, 2019

Mtunzi wa wimbo 'Chadema People's Power' afariki dunia.

Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya sanaa CHADEMA makao makuu Fullgency Mapunda (Mwana Cotide) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

 Enzi za uhai wake aliimba wimbo wa chama hicho wenye maneno "CHADEMA People's Power" ambao ni maarufu hadi sasa. Soma taarifa ya chama hicho hapo chini



from MPEKUZI https://ift.tt/2AQ6rPe
via IFTTT

No comments:

Post a Comment